Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Hili kwangu limekuwa jaribu sana toka kwa wife; anataka kuniua
Wife ana shughuli zake za biashara, sasa kutokana na kuwa nami nakuwa busy na mambo yangu, mara nyingi huwa hata siulizi pesa zake anafanyia nini. Tuna magari mawili. Yeye dogo, mimi kubwa kiasi flani, SUV. Kutokana na kuwa huwa sifuatilii mambo madogo madogo hasa kuingilia biznesi yake, basi...