Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akizungumza na Jarida la L’Equipe kuhusu sakata hilo mwaka 217, Benzema alimshutumu vikali Valbuena akidai kwamba ni muongo na amemzamisha katika matope.
“Kuna kitu hakipo sawa kwake. Katika sehemu ya maelezo yake. kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu mimi ni adui yake, naonekana mtu mbaya kwake, muhuni.
 
Mimi ni adui yake mkubwa. Inaonekana nilitaka pesa kutoka kwake. Inabidi aache kutunga. Inanifanye niwe na hasira sana anavyoendelea kudanganya.
“Mkanda wa ngono? Inabidi aseme kweli tu kwa kilichotokea,” alilalamika Benzema ambaye amekuwa na kiwango kizuri Madrid.
 
[emoji2][emoji2]
IMG-20191115-WA0015.jpeg
 
Back
Top Bottom