Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Kiukweli hizi screenshot zako huwa nashindwa kusoma
Masanja kaongea ukweli.
Pole Khantwe, sababu nini?Kiukweli hizi screenshot zako huwa nashindwa kusoma
Nadhani hiyo rangi ni tatizoPole Khantwe, sababu nini?
Pole sana,.Nadhani hiyo rangi ni tatizo
Pole sana,.
Wacha niondoe hii.
Sawa pole sana pia.Utakuwa umenisaidia sana
Kwa utandawazi huu hazitamsumbua sana atakua ameshazoea vya kutosha na support atapata za kutoshaMasanja kaongea ukweli.
Hizi picha zitakuja kumsumbua sana huko mbele.
Sijui kama kuna watu wanaelewa kitu kinaitwa PTSD