Akizungumza na Jarida la L’Equipe kuhusu sakata hilo mwaka 217, Benzema alimshutumu vikali Valbuena akidai kwamba ni muongo na amemzamisha katika matope.
“Kuna kitu hakipo sawa kwake. Katika sehemu ya maelezo yake. kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu mimi ni adui yake, naonekana mtu mbaya kwake, muhuni.