moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sis unapost picha halafu hunitag mimi big bro? Kenti bilivu zisi [emoji24][emoji24][emoji24]
Hivi Airtel si ndio imechukuliwa na serikali au nakumbuka vibaya?
Hahaha kwaio hawawez kulipa iyo hela?Bei kubwa
Itakua ila nadhan bado mchakato unaendelea hivyo kunaweza kuwa na mabadiliko JanuaryHahaha kwaio hawawez kulipa iyo hela?
Bonge la menu. Mlenda mtamuKaribuni tupige dona na mlenda maarufu wa Morogoro uitwao "Mwidu"View attachment 1265946
Imoooooo !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu mama huwa namkubali sana
Dooh anatest mitambo ama?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimo cha cha watoto kwa nia ya kulijenga taifa la Tanzania kwenye sekta ya utaliiView attachment 1266097
Wakuu kwema
Mapenzi yalikozaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]