Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
🙏🙏Mungu atupe siku njema na yenye amani...
Asubuhi ya kuwahi kwenye majukumuSalam kwenu wote
AminMungu atupe afya na uzima..
Niko safi...uwe na siku njemanzuri kabisa umeamkaje
[emoji23][emoji23][emoji23] Morning Earlybird.[emoji8]The Happiness mpishi wa sambusa za wali [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] student huyu ni wewe [emoji2088]
shukrani ila ni kweli kabisa post zingine nazipita kwa spidi ya jetiKaribu sana kijana wetu, post nyingine hapa uwe unafumba macho tu, maana zinawahusu wazazi wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maulid nae kaanza lini uchokozi
Kwa nini wanaume tu[emoji23][emoji23]View attachment 1266303
[emoji23]