Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ivan Gazidis kabla ya yeye mwenyewe kuondoka mwak jana kwenda kujiunga na AC Milan. Hapo ndipo, Sanllehi alipopandishwa cheo, ambapo mkurugenzi huyo wa soka wa zamani wa Barcelona alikuwa kwenye kikosi cha Arsenal kwa mwaka mmoja kabla ya kupewa kazi mpya.