Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Comment #8
 
Kocha Emery alihakikishiwa usalama wa kibarua chake na Mkurugenzi wa soka, Raul Sanllehi baada ya kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Leicester City wiki iliyopita na hivyo kushuka hadi nafasi ya sita katika msimamo wa Ligi Kuu England huku wakiwa wameshinda mara mbili tu katika mechi 10.
 
Lakini sasa hatima ya kocha huyo itafahamika baada ya mechi zijazo za Ligi Kuu England, ambapo Arsenal itakipiga na Southampton , Norwich, Brighton, West Ham na Manchester City, hivyo hadi kufikia Desemba 15, itaangaliwa timu imepiga hatua kiasi gani, ambako kama mdororo umekuwa mkubwa, basi kocha huyo atafunguliwa geti la kutokea.
 
Lakini baadhi ya maofisa kwenye kikosi hicho cha Arsenal wanatia mashaka kama Emery ataweza kukabiliana na hilo kwa sababu timu imepoteza mwelekeo wake tangu Arsene Wenger alipohitimisha maisha yake kwenye kikosi hicho baada ya kudumu kwa miaka 22.
 
Timu imekuwa tofauti na ile ya mwanzo, shida ni nyingi kuliko kuteua na kutengua makocha.”
Kuwaajiri watu kama kiungo wa zamani Edu kwenda kufanya kazi ya ukurugenzi wa ufundi, akifanya kazi sambamba na Sanllehi na bosi wa akademia, Per Mertesacker kuliaminika kungenusuru timu hiyo, lakini makosa yaliyofanyika ni kwamba wote waliokuwa wakifanya kazi na Wenger kwa ukaribu, wameondoka.
 
Back
Top Bottom