moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
5:31
Mambo yameshakuwa tayari pande hizi
View attachment 1266303
[emoji23]
Asubuhi njema
Mungu atupe siku njema na yenye amani...
Asubuhi ya manyunyu [emoji942]
shukrani ila ni kweli kabisa post zingine nazipita kwa spidi ya jeti
Hatujambo, hali yako?Hamjambo eeh
[emoji39][emoji39][emoji39]Mambo yameshakuwa tayari pande hiziView attachment 1266326
π π π π
Watu wanajitahidi sana kuwatoa wenzao njia kuuππ