The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Kweli kabisa, mie binafsi sijawahi kuwa na imani naoKwa Tanzania hapa nadhani ni Nyerere peke yake ndiye alikuwa anajiamini kabisa kabisa kuwa hanunuliki na aliwahi kusema hivyo katika baadhi ya hotuba zake. Na pengine labda Sokoinne kama maandaeitini mlishawahi kumsikia. Wengine hawa wote wananunulika tu (wachumia tumboooo)
View attachment 1266860
Jitose huko TH kama unataka kutajirika haraka.Kweli kabisa, mie binafsi sijawahi kuwa na imani nao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh, sipawezi hata kidogoJitose huko TH kama unataka kutajirika haraka.
Hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakiwa wamemaliza mitihani wanasubiri matokeo si wanafunzi na kama wako 18+ sidhani kama kuna mvua 30. Sijui sheria inasemaje lakiniHahaha
Hivi apo mvua 30 hazihusiki?
Siyo kweli...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli hii?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hii kali
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari aisee
Woi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1266883