Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wamepoteza mpaka maisha eti wanapigania "ukombozi" wa taifa lao. Wakombozi wenyewe ndo hawa. Ogopa sana mwanasiasa aisee !!!
View attachment 1266854
Wasaliti mno. Ndo maana sina muda wa kwenda jukwaa la siasa. Enzi hizo nilikua namuonea huruma makonda na sakata lake la vyeti ila saiv nae wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…