Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Numbisa naona unatafuta kuchapwaBREAKING NEWS
Tukio linaloendelea sasa ivi hapa tanga mjini maeneo barabara ya 12,katika hali isiyo yakawaida dada mmoja aitwae Nusurat Khamis mweny umri wa miaka 22 amekutwa na vichwa viwili kweny mkoba wake. Aidha dada huyo inaelezwa kuwa alikuwa akitokea maeneo ya Raskazone na alipanda bodaboda had hapa katkat ya jiji lacTanga barabara ya 12, bodaboda ndiye aliyetoa taarifa kwa watu wa usalama kuwa alianza kusikia haruf ambay hakuielewa ikitok kweny mkoba wa huyo dada hali ambayo ilimfanya apate wasiwasi na hiyo ilpelekea tu baada ya kumshusha nakulipwa pesa yake akawastua polis waliokuw eneo hilo. Aidha polis walimfuata na kutaka kumpekuwa ili kujiridhisha lkn dada huyo alikuwa mkali mithili ya mbogo aliejeruhiwa. Aidha baada ya nguvu kubwa kutumika ili kumsachi dada yule alikosa ujanja nakujikuta anakuwa mpole. Baada ya mkoba wake kufunguliwa. Loooh!!! Huez amini vichwa viwili vilikutwa ndan ya mkoba wake kimoja ni kichwa cha cherehan na kingine kichwa cha samak ajulikanae kama kambare.
Sikukutuma usome [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] naona wanatokwa na povu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa naona unatafuta kuchapwa
Poleee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]dah Numby wewe.! Nimesoma kwa utulivu kabisa[emoji19][emoji19]
PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio unaenda kuoa huyo[emoji125][emoji125][emoji125]Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1266940
[emoji23][emoji23][emoji23]A moment of silence to those ladies who think they won't be dumped/cheated cause they met bae's parents.
[emoji24] [emoji22][emoji19] [emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aki ma nurse hukua na roho mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23]..in a maternity hospital earlier nikaskia mama fulani ameulizwa,,[emoji44][emoji44]wapi nguo za mtoto[emoji848][emoji848]ama ulikua umekuja nikufungie na gazeti?[emoji23][emoji23][emoji23].nmekosa hadi nguvu ya kufaint[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]