Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji36][emoji36][emoji36]View attachment 1267023
We mpole TH huwezi kufanya hivyo.

Main guys ni kwenda nao pole pole ila kuna challenge sana hasa baada ya ule upya upya kwisha na kubakia mazoea. Hapo ndipo inabidi nyote muwe creative ili kuhakikisha kuwa moto hauzimiki jumla...Vinginevyo main huyo atakuwa huko anasaka dola mpya la kuporomosha japo hakuna faida yo yote atakayoipata....
 
Mjitahidi kuwaelewesha wanapokosea; na mambo mnayotaka wawafanyie. Kama kweli wanawajali watawasikiliza. Hii tabia yenu ya kuzira tu wala haisaidii na sana sana ndiyo inaharibu mambo zaidi...
To be honest mi sipendi kununa nuna, huwaga nasema ukweli ninapoona sijapenda kitu..! I think ni jambo ambalo linanisaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…