Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mtoto wa mjini kumzidi hata Ditopile wa Mzuzuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Mtoto wa mjini kumzidi hata Ditopile wa Mzuzuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Tayari nilikuwa nimeshazima data[emoji3][emoji3][emoji3] ngoja nimuite
Labda kukonda.Umeshawahi kupenda kabisa kabisa jumla halafu ukapigwa chini. Watu wanakondaga ati! Na wengine hupitiliza hata kujitoa uhai. Jikalie kimya tu kama bado [emoji16][emoji16][emoji16]
Safi, niambie hamjambo hapo Tukuyu
Swali wala halijajibika [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Labda kukonda.
Ila kutokula hapana..
Huwezi jua umeepushwa na Nini.
Nilishawahi kupenda mazima kabisa kabisa., [emoji2]Swali wala halijajibika [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na Wanyakyusa na maparachichi. Kama mmerogelezewa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishawahi kupenda mazima kabisa kabisa., [emoji2]
Siunajua wapendwa walivyokuwa na true love[emoji12]
Nikaishia kupoteza muda wangu Bure..
Hakuna mtu hajawahi pata machungu,.
Nilihisi vidonda vya tumbo..nikaendelea kula ugali wangu na maparachichi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Wanyakyusa na maparachichi. Kama mmerogelezewa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishawahi kupenda mazima kabisa kabisa., [emoji2]
Siunajua wapendwa walivyokuwa na true love[emoji12]
Nikaishia kupoteza muda wangu Bure..
Hakuna mtu hajawahi pata machungu,.
Nilihisi vidonda vya tumbo..nikaendelea kula ugali wangu na maparachichi.