Mourinho ametua Tottenham kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino aliyetimuliwa usiku wa kuamkia leo kutokana na kuwa na msimu mbaya katika Ligi Kuu England.
Mourinho ametua Tottenham kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino aliyetimuliwa usiku wa kuamkia leo kutokana na kuwa na msimu mbaya katika Ligi Kuu England.
BOSI kubwa wa Barcelona, Eric Abidal hajafunga milango ya supastaa Neymar kurudi kwenye timu hiyo, akisema uelewa wake wa falsafa za timu zinamfanya Mbrazili huyo kubaki kuwa chaguo lao kwenye orodha ya wachezaji inaowataka.
Blaugrana walitumia sehemu kubwa ya dirisha la usajili lililopita kujaribu kumrudisha Neymar kwenye kikosi chao baada ya kumuuza kwenda Paris Saint-Germain miaka miwili iliyopita kwa ada iliyoweka rekodi ya dunia ya Pauni 200 milioni.