Anamuita ndege mkali kutoka mashariki na mtu wa shauri lake kutoka nchi ya mbali tena Atoa watu kwa ajili yako na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
Ameandaa watu wa kukusaidia watu ambao tayari wamewekwa TAYARI TAYARI wakikusubiri ili kukusukuma kuifikia hatima ya maisha yako ili kukusukuma kulitimiza kusudi la MUNGU angali uko hai.
Kila mtu mwenye malengo makubwa maishani,kuna wakati utapitia na utaona giza nene mbele yako na nguvu za kuinua mguu kwa hatua inayofuata ni kama hautakuwa nayo kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.