Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
-hawajui ni jinsi gani ulipita kwenye wakati mgumu uliokufanya ufanye maamuzi uliyoyafanya.
Hahahahahaa moud banaKuna muda nasoma, hasa napoona makala ndefu ndiyo hupenda kuzisoma, hata hivyo nimekuwa nikiambulia kusoma porojo na mizaha.
Uamuzi wa sasa ni likes na kusonga mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hey Depal,
Naona jamaa amegoma kupigwa exile [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1267076