Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
vipi lile ombi langu umelifanyia kazi.Karibu tena Mpemba weye. Kuna sembe linakungoja hapa Ikungulyabashashi
davet huenda anamkimbia yule binti mwenye maneno mengi kama charahani ya umeme.
Hii code ngumu zaidi ya jiwe.davet huenda anamkimbia yule binti mwenye maneno mengi kama charahani ya umeme.
mpenzi wa liverpool
anaitwa saint anne kama nitakuwa nipo sahihiHii code ngumu zaidi ya jiwe.
Mimi nagombania wenyekiti wa mtaa huku michezani ukuje unipe kura yako πvipi lile ombi langu umelifanyia kazi.
nilikwambia ugombanie serikali za mitaa babu wewe
michenzani jumba namba ngapi?Mimi nagombania wenyekiti wa mtaa huku michezani ukuje unipe kura yako π
Aisee siamini labla kuna kaukweli.anaitwa saint anne kama nitakuwa nipo sahihi
halua kama zile za bakhressa ndio unazopenda au zile za wapemba wanazofunga kwenye makuti ya mnazi
View attachment 1267544
kadavet kijoga sanaaa ndio maana anatandikwa na the happiness.Aisee siamini labla kuna kaukweli.
Nyumba namba 678 usikose.michenzani jumba namba ngapi?
au upo kisongeeeeeeeee
πππWewe ni Mzaramo.kadavet kijoga sanaaa ndio maana anatandikwa na the happiness.
kuna siku nasikia alipigwa weeeee mpaka akatoka ndani na kichupi kama mtoto anayekimbia kukogeshwa na mama yake
Haya daemusin amesharudi now ni
Free king
ngoja nianze ziara isiyo rasmi.Nyumba namba 678 usikose.
Ccm oyeee
Halua ule kwa hamu mimi yale mafuta huwa yananikinaisha mapemaHalua[emoji39][emoji39][emoji39]
Freeeeeeee them
zinaozesha meno.Halua[emoji39][emoji39][emoji39]