carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sasa hivi tuko kwenye kipindi ambacho ukiwa kwenye mahusiano inakubidi useme "nilikuwa nakuwaza siku nzima" hata kama ni uongo maana ukisema ukweli ni vurugu.Uwongooooo. Eti sili silali nakuwaza wewe tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1267512
Naomba uwe mpambe wangu tufanikishe zoezi hili sitakusahau paradiso ya Dunia nikiwa mwenyekiti.ngoja nianze ziara isiyo rasmi.
hodiiiiiiiii
karibuuuu
hawachi yumoooooo
hayumooooo
yuko wapi
ebooooooooo hata salamu hutoi, kwani hawachi una uhusiano naye
ndiooooo
ni mwalimu wangu wa likeeeeees
zile za wapemba hazina mafuta mengiHalua ule kwa hamu mimi yale mafuta huwa yananikinaisha mapema
Eimeeeen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1267509
unagombea chama ganiNaomba uwe mpambe wangu tufanikishe zoezi hili sitakusahau paradiso ya Dunia nikiwa mwenyekiti.
Why udanganye ukweli utakuweka huru mpendwaSasa hivi tuko kwenye kipindi ambacho ukiwa kwenye mahusiano inakubidi useme "nilikuwa nakuwaza siku nzima" hata kama ni uongo maana ukisema ukweli ni vurugu.
Akijibu ni tagKwahiyo me ndio nna meno ya rangi nyeusi kama mkaa.
CCMunagombea chama gani
nimesema watu wa arusha, na wewe unatokea arusha kwa mujibu wa comment zako za zamaniKwahiyo me ndio nna meno ya rangi nyeusi kama mkaa.
kadavet kijoga sanaaa ndio maana anatandikwa na the happiness.
kuna siku nasikia alipigwa weeeee mpaka akatoka ndani na kichupi kama mtoto anayekimbia kukogeshwa na mama yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo me ndio nna meno ya rangi nyeusi kama mkaa.
Kwenye kucha zetu na bwana mitumbwi naomba nifungulie code mpendwa ππFreeeeeeee them
Freeeeee kijana mpoleeee
Freeeeeee bwana jeziiiii
Freeeeeee kucha zetuuuuu
Freeeeee bwana mitumbwi,mvuvi asiyejua anavua nini hahahaa
basi tumeshashinda kwa maeneo ya michenzani.
We n phalaa sana ππππππππππππnimesema watu wa arusha, na wewe unatokea arusha kwa mujibu wa comment zako za zamani
una nini bibi weweeee, ndio nini kudandia gari kwa haraka haraka haliyakuwa hujavaa suruali, utatupiga pichaaaa na flash yenyewe imeunguaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo kuna davet na yegoKwenye kucha zetu na bwana mitumbwi naomba nifungulie code mpendwa ππ
Freeeeeeee them
Freeeeee kijana mpoleeee
Freeeeeee bwana jeziiiii
Freeeeeee kucha zetuuuuu
Freeeeee bwana mitumbwi,mvuvi asiyejua anavua nini hahahaa