Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna watu wabaguzi katika kuozesha kama wapemba hata ukiwa na meno meupeee kama unatoka bara hawakuozeshi wala kuolewa labla uwe na pesa za maana.
 
Niambukizeni na mimi angalau niwe shabiki damu wa mpira.
Timu yangu simba ila sijui hata jina moja la mchezaji.
Achana na timu zisizoeleweka[emoji12].
Simba timu gani bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwanza msemaji wao manara anazimia Kila siku[emoji23][emoji23][emoji23].

Njoo yanga [emoji7][emoji7].
Kwanza bongo hakuna timu[emoji2].
Karibu Liverpool [emoji7][emoji7][emoji7]"kamwe hutatembea pekeyako"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushashiba urojo sasa[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siwezi kwakweli.
Huwa nakuwa team inayocheza aganist bae,fujo zake sasa
Saint anne akasome[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nitaongeza fujo nikiangalia mechi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ninazomea hata mechi zenyewe sikuangalia maskini Mimi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…