D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
pesa ngumuu ndio maana.Hapo hapatachangamka wenyeji wamepoa sana
Huyo kwenye avatar yako ni nani?nitakatisha mshahara ukiendeleza utoro
nooooooHuyo kwenye avatar yako ni nani?
Haki tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanidanganya bhana[emoji23][emoji23]
"you will never walk alone"Kwenye ushindi sasa wanavyojitapa na ile this is liver huwa comedy tosha
Kumbe ndo maombi yako haya eeh[emoji2]..Huko nako hapachelewi kutibuka
Kweli Mimi ni andaeitini.[emoji23][emoji23]Ma brotherman wa zamani.
Hawa ni watu maarufu sana, sijui kama unamjua yeyote hapoView attachment 1267605
Hiyo sehemu sio ngumu waje watu wa bara itachangamka sana huko kuchangamsha eneo hamuwezi wakina amiiiiiii.pesa ngumuu ndio maana.
pale mnarani ndio kidogo ukienda usiku utakutana na mzunguko wa watu
hatuhitaji vibaka na matapeli mitaani kwetuHiyo sehemu sio ngumu waje watu wa bara itachangamka sana huko kuchangamsha eneo hamuwezi wakina amiiiiiii.
Sawa kabisa mkuugoli moja linazalisha mapacha watatu.
ina maana hujui hilo?
unataka ufunge magoli mengi kwani wewe ni mbuzi meeeeee.
goli moja la samatta latosha
inategemea na defence yako na ubora wa mpinzani wakoSawa kabisa mkuu
Ila goli moja si goli
Tatizo nyinyi biashara wala kuchangamsha mji hamuwezi labla kuvua samaki, kuuza juice ya miwa na kuuza urojo Yaani nikiwa huko huwa nasikitika mno.hatuhitaji vibaka na matapeli mitaani kwetu
watu wa bara mwisho wao bar zinapouzwa pombe.
Karibu jemedari[emoji23][emoji23]vipi lile ombi langu umelifanyia kazi.
nilikwambia ugombanie serikali za mitaa babu wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"you will never walk alone"
This is Liverpool[emoji7][emoji123][emoji123]
Huku Kuna mechi tunashinda kwa kudra za Mungu tu[emoji1787]