Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata usipokula sembe kamwe hutakuwa mwarabu wala mzungu.
Wewe ni gozi tu[emoji23]
 
Mashabiki wa livapoo ndiyo baba na mama wa kila kitu ndani ya uwanja.
Matusi, mateso, vichambo,makofi nk, yote utayapata.
Akaulizwe Messi, goli alikuwa halioni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mkisemaga bara mna maanisha Dar mpaka Kigoma au Dodoma mpaka Musoma?
Huwa nawashangaa nyie ndugu zangu, yani mpaka watu wa Dar mliwafundisha kula, kuvaa nk.
Mnatoa wapi hiyo?
 
Mpira lazima uende sambamba na maneno.
Laiti mchezo wa soka ungechezewa chumbani ungekosa maneno.
Michezo yote ya hadharani lazima iwe na maneno, kama huko Yanga mmekosa mtu wa kupiga domo ni juu yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mmefungwa juzi hapa na kitimu Cha ajabu,licha ya kusajili wachezaji kwa mbwembwe.
Simba maneno mengi kama waimba taarabu.
 
Mpira lazima uende samabamba na maneno.
Laiti mchezo wa soka ungechezewa chumba ungekosa maneno.
Michezo yote ya hadharani lazima iwe na maneno, kama huko Yanga mmekosa mtu wa kupiga domo ni juu yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaishia kuzimia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulisikia Domo ndo linacheza mule ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…