Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kichapo kutoka kwa Leicester City kimewafanya kuwa nyuma kwa pointi tisa kuifikia Top Four inayotoa tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya na Emery haonekani kama anaweza kuweka mambo sawa na kuokoa jahazi.