Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kiungo wa kati wa England, James Maddison, 22, kusaini mkataba mpya na Leicester licha ya azma kuu ya Manchester United ya kutaka kumnunua. (Manchester Evening News)
Ahsante Bro, naamini hujambo.Nakusalimia bro.
Hii hadi umeuweka hapa itabidi nitulie niisome.
Kama vile ambavyo nitapotea baada ya ku admit kwamba I got Crush on U.One day I will tag my crush in a relationship status and go offline for two days [emoji23][emoji114]
If I die I die [emoji120]
Naibia mbinu bro.Kama vile ambavyo nitapotea baada ya ku admit kwamba I got Crush on U.
Nakusalimu bro.
Uwe na siku njema.
Majembe