Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1574415495157.jpeg
 
Tazama picha hii ikionyesha ndege aina ya Airbus A380 ilivyokoswa koswa na radi katika uwanja wa ndege wa Christchurch nchini New Zealand.
Picha hii ilipigwa na rubani mmoja kutoka kituo cha helikopta cha Garden City, wakati ndege hiyo ikisubiri tufani na mvua kali ipungue.
Pata picha upo ndani ya ndege hiyo doooh...
75341307_548309482383512_6532741210181059234_n.jpg
 
 
Hili vuguvugu unaloendesha bro angalia lisipate wafuasi.
TRM haihusiki na wapare.Ilani ya chama chetu haijabadilika[emoji3][emoji3][emoji3]
Wapare nyie shemeji zangu. Mwenzio uniq kaoa dada yangu na mahari kagoma kutoa mpaka leo na kesho. Na dadetu kampiga stop asiwasiliane nasi kabisa.Wapare nyie kiboko aisee [emoji16][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom