Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

be5dcd50-5a96-48be-811a-b04b00e2b6ef.jpeg
 
Supastaa wa kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba pengine ni moja ya mastaa wa Kiafrika maarufu waliowahi kuwa chini ya kocha mwenye mbwembwe nyingi, Mourinho. Drogba amekuwa chini ya Mourinho kwa awamu mbili tofauti, ambapo akicheza mechi 186 na kufunga mabao 73, huku akiweka vyema kabisa rekodi zake kwa kubeba mataji manane. Mourinho na Drogba walikuwa moto kabisa huko Stamford Bridge, huku staa huyo wa Ivory Coast akiwa mchezaji wa Kiafrika, aliyeongoza kwa kucheza mechi nyingi akiwa chini ya Mourinho.
 
Samuel Eto’o – Inter/Chelsea

Fowadi mwenye heshima yake huko Cameroon, Samuel Eto’o ni mwanasoka mwingine maarufu wa Kiafrika kuwahi kuwa chini ya Mourinho katika maisha yake ya soka. Kwanza, Mourinho na Eto’o walikutana huko Inter Milan na kufanya kazi nzuri pamoja, wakibabe mataji matatu ndani ya msimu mmoja mwaka 2010. Lakini, badaaye, wakati Mourinho aliporejea Chelsea kwa mara ya pili, alimnasa tena Eto’o na kuwa chini yake huko Stamford Bridge. Rekodi zinaonyesha kwamba chini yake Mourinho, Eto’o alicheza mechi 83 na kufunga mabao 28.
 
Michael Essien – Chelsea/ Real Madrid

Baada ya kuwa mtumishi muhimu kabisa kwenye kikosi chake cha Chelsea, Mourinho hakuwa na namna zaidi ya kuitaka tena huduma ya kiungo Michael Essien wakati alipotua kupiga kazi Real Madrid. Walipokuwa pamoja Chelsea, Essien alikuwa moto akikamatia kiungo ya kati ya kumpa mafanikio makubwa kocha huyo kabla ya kwenda kufanya tena kazi Santiago Bernabeu. Huko Los Blancos, Mourinho alikuwa akimtumia Essien kama beki wa kulia na kupata mafanikio makubwa. Chini ya Mourinho, Essien alicheza mechi 147 na kufunga mabao 11.
 
Back
Top Bottom