Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
John Obi Mikel – Chelsea
Sifa moja ya Mourinho anapenda wachezaji wale wagumu wagumu uwanjani na ndio maana alipokuwa na huduma ya kiungo wa Kinigeria, John Obi Mikel huko Chelsea alihakikisha anampa mafanikio makubwa. Staa huyo wa Nigeria, Mikel alikuwa mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Mourinho kwa awamu zote alizokuwa katika kikosi hicho cha Stamford Bridge na hivyo kuingia kwenye orodha ya wanasoka maarufu wa Kiafrika waliowahi kupiga kazi na kocha huyo raia wa Kireno, anayependa kujiita The Special One. Akiwa chini ya Mourinho huko Chelsea, Mnigeria, Mikel alicheza mechi 119 na kufunga mabao matano akitokea kwenye sehemu ya kiungo.