Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niumie kwa sababu ya Simba wapiga Domo kama waimba taarabu hasa yule mzungu kichaa wenu
Kitimu kilisajili wachezaji wapya kikaanza na kupigwa dadeq[emoji2][emoji2]
Unaumia...[emoji23][emoji23]View attachment 1270691
Leo ushindi wenu Ni sawa na Mimi nigombane na John Cena halafu ajitape amenipiga
Simba hamnazo Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](joking)
 
Ushindi wa Simba leo ni sawasawa na ushindi wa Liverpool, usijifanye huoni.
Crystal palace ni kitimu tu lakini umemwaga povu hapa kama umelipata bure.
Tulia ulambe dawa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushindi ni ushindi tu.
Kwakifupi nina furaha mbili, Liverpool na Simba.
Timu zangu mbili zote zimepata ushindi kwa vitimu vya ovyoovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…