moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kaka mkubwa kama vile nakuona na miwani yako usoniπππNilalie maparachichi mi nimekuwa Mnyakyusa? Njoo hapa kona ya Petrobas Masaki barabarani tu kuna kachimbo ka Wabrazil utanikuta hapo. Livapuu shwaini zenu kabisa !!!
View attachment 1270553
Acha kulinganisha livapuu na vitu vya ajabu [emoji23][emoji23][emoji23]Ushindi wa Simba leo ni sawasawa na ushindi wa Liverpool, usijifanye huoni.
Crystal palace ni kitimu tu lakini umemwaga povu hapa kama umelipata bure.
Tulia ulambe dawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushindi ni ushindi tu.
Kwakifupi nina furaha mbili, Liverpool na Simba.
Timu zangu mbili zote zimepata ushindi kwa vitimu vya ovyoovyo
Namfundisha namna nzuri ya kushangilia ushindi.
Ushindi huwa haunwagiwi povu[emoji23][emoji23]
Wanaudhi sana hawa Livapuu bro. Kidogo nishindwe kuinjoi lunch yangu pamoja na kuwa na pisi kali pembeni. Hawafai kabisa [emoji36][emoji36][emoji36]Kaka mkubwa kama vile nakuona na miwani yako usoniπππ