Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni Imani yangu picha picha na mawazo vimepungua kichwani[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Bado aisee. Huu muziki we acha tu. Uliweza kuimba mapambio kanisani leo baada ya makelele ya jana? Mnyakyusa wewe una vituko dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Zitaisha taratibu.
Sasa si ushukuru ulitoka Kama ulivyo..tuliotoka tumeacha viungo pale pichapicha huwa haziishi[emoji2][emoji2].
Usitake kuniambia Leo umetembea kwa mguu Hadi kanisani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kanisani Leo sijaimba mapambio,ushindi wa liver ulikausha sauti yangu[emoji17]
 

Ndo kwanza saa nane usiku [emoji16][emoji16][emoji16]. Bima wamenipa gari jingine mpaka langu litakapomaliza kutengenezwa....

Uliacha viungo kwenye ajali? Aisee pole sana. Cha muhimu tu Mungu Alikuponyesha. Mengine haya madogo. Yeye ni mwema na matendo yake ni sahihi hata kama kwetu hatuoni hivyo.

Sauti ikirudi fidia hayo mapambio uliyoyakosa leo. Au tu uachane na kushabikia Livapuu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Pole mpendwa
 
Haaa hivi bado hakujakucha eeeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilishasahau .
Sasa we msukuma saa8 hii muvi limekujia kichwani Nini!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukute tangu wamekupa umelikalisha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wasukuma mnajimwbafai tu hapa ila kumbe Ni waoga Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…