Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara baada ya kumaliza mwaka kuna uwezekano mkubwa Mourinho akaingia sokoni kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake na jana imeripotiwa ameingia katika mbio za kumuwania staa wa zamani wa kimataifa wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic, 38.
 
Zlatan ambaye amecheza chini ya Mourinho mara mbili katika klabu za Inter Milan na Manchester United amemaliza mkataba wake na klabu ya LA Galaxy ya Marekani na amekuwa akiwaniwa na AC Milan, lakini Mourinho huenda akamchukua kwa ajili ya kumpa changamoto staa wake, Harry Kane.
 
Mourinho pia ameanza kuhusishwa na mastaa wengine kama vile, Nemanja Matic wa Manchester United ambaye amewahi kucheza chini yake Chelsea na Manchester United, huku pia amekuwa akihusishwa na mastaa wawili wa kimataifa wa Ureno, Ruben Dias na Bruno Fernandes.
 
itakuwa babu aliomba vibaya dua yake.
yule babu na yeye si mzima kichwani mwake ndio maana muda wote anawaza matako ya wasichana
2019-03-13%2018.00.49%201998747151376435769_8440165479.jpeg
 
Back
Top Bottom