Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jizazi. Mnisamehe jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aisee. Binti mdogo tu yaani...[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hii sasa ni too much hata msiba wa sulli haujapoa vizuri kajiua mwingine..ni msanii wa korea anaitwa GOO HARA amejiua leo kakutwa nyumban kwake kafa [emoji22] alikuaga ana sakamwa sana na media .
alaishawahi kuigiza kwenye drama ya secret love .
may her soul rest in peace [emoji22]
RIP GOO HARAView attachment 1271359
Mimi nitahakikisha naua mabetri yao ya simu kwa kutuma mapicha ya kutosha ili waongeze mwanga Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena watuwache miaka mia mbili
Nasikia iPhone hii mpya ni otomatiki. Inarekebisha mwanga yenyewe tu kulingana na kinachotazamwa [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chaji zenu zitaisha Sana mwaka huu..Hadi mabetri ya simu yaharibike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee hawa maselebriti wa Korea vipi aisee, hiki ndio alikuwa akikisema SHIMBA YA BUYENZE asubuhi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hii sasa ni too much hata msiba wa sulli haujapoa vizuri kajiua mwingine..ni msanii wa korea anaitwa GOO HARA amejiua leo kakutwa nyumban kwake kafa [emoji22] alikuaga ana sakamwa sana na media .
alaishawahi kuigiza kwenye drama ya secret love .
may her soul rest in peace [emoji22]
RIP GOO HARAView attachment 1271359
Watakubloku [emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nitahakikisha naua mabetri yao ya simu kwa kutuma mapicha ya kutosha ili waongeze mwanga Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anza na mimi pulizi...Mimi nitahakikisha naua mabetri yao ya simu kwa kutuma mapicha ya kutosha ili waongeze mwanga Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia iPhone hii mpya ni otomatiki. Inarekebisha mwanga yenyewe tu kulingana na kinachotazamwa [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]Watakubloku [emoji3][emoji3][emoji3]
Hembu Ngoja nikae kimya..Anza na mimi pulizi...
Halafu usikute mwenyewe hapo cheupeeee peeee kiasi cha kuweza hata kiwafilisi Wasukuma wapenda wanawake weupe [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wachache sana wanasema ukweliHili nalo neno [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1271341
Ni hatari aisee ukigundua
Uselebriti ni mzigo mzito na wengi wao wameajiri wanasaikokojia na wataalamu wa mambo ya akili ili kuwatuliza pale wanapoelemewa. Na sehemu nyingi sasa suicide za maandaeitini hawa ni janga la kitaifa. Social media hizi zinalaumiwa sana. Hata juhudi za Instagram kujaribu kuficha likes kwenye posts zote ni katika juhudi za kupambana na msongo wa mawazo unaosababishwa na watu kujiona hawapendwi. Sasa wameanza kuzipigia kelele hata comments. Vijana wetu hawa akiweka picha yake halafu mabullies waje wamtolee mapovu kuwa s/he is ugly basi self worth zero, inferiority complex inamkamata mtu, msongo wa mawazo na hata mwishowe kujiua. Sad !!!Aisee hawa maselebriti wa Korea vipi aisee, hiki ndio alikuwa akikisema SHIMBA YA BUYENZE asubuhi
Mimi nina TECNO. Simu hii nimetoka nayo mbali na imevumilia mengi zikiwemo vurugu zako za Livapuu na inapataga joto sometimes kama inataka kuripuka. Hii haiji kuuliwa na mbwembwe zako na Khantwe wako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla hujainunua hiyo nataka niue kwanza hiyo Samsung yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawana moyo kama wabongo. Wao wakisakamwa kidogo tu stress za kutoshaAisee hawa maselebriti wa Korea vipi aisee, hiki ndio alikuwa akikisema SHIMBA YA BUYENZE asubuhi
Aisee, inasikitisha kwa kweliUselebriti ni mzigo mzito na wengi wao wameajiri wanasaikokojia na wataalamu wa mambo ya akili ili kuwatuliza pale wanapoelemewa. Na sehemu nyingi sasa suicide za maandaeitini hawa ni janga la kitaifa. Social media hizi zinalaumiwa sana. Hata juhudi za Instagram kujaribu kuficha likes kwenye posts zote ni katika juhudi za kupambana na msongo wa mawazo unaosababishwa na watu kujiona hawapendwi. Sasa wameanza kuzipigia kelele hata comments. Vijana wetu hawa akiweka picha yake halafu mabullies waje wamtolee mapovu kuwa s/he is ugly basi self worth zero, inferiority complex inamkamata mtu, msongo wa mawazo na hata mwishowe kujiua. Sad !!!
Afadhali ya hao kwa kweli. Nawaoneaga wivu basi tu [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna watu wanakuwa nazo nne eti