Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wabongo wanakimbilia kwa waganga wa kienyeji ili kurekebisha mambo. Hata kama wanadanganywa huko lakini kisaikolojia inawasaidia sana!Hawana moyo kama wabongo. Wao wakisakamwa kidogo tu stress za kutosha