Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Ulichokula leo... Ulianza na rangi sasa hivi umehamia kwenye mawigi yetu [emoji3][emoji3]
Don't take me seriously. Najifurahisha tu sis [emoji16][emoji16][emoji16]Ulichokula leo... Ulianza na rangi sasa hivi umehamia kwenye mawigi yetu [emoji3][emoji3]
Don't take me seriously. Najifurahisha tu sis [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1271420
Msamehe Bure,hajui alisemalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nina wasiwasi wapinzani washaanza kuturoga liva[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..huyu brother washamvuruga
Itakuwa alimeza hizi dawa.
Maana dar nako Kuna mbu,yawezekana hata malaria haijamuisha kichwani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika Mungu fundi[emoji5] [emoji5] [emoji4]
Yale maombi ya SYB naona yameshindwa kuifikia livapuuu ila yamevamia shabiki wa livapuuu[emoji23]
Anaanza kulinganisha Liverpool na waojiita Simba
ndio maana anapost ujinga kule instagram.
baada ya kugundua ya kwamba jamaa ni empty set nimeacha kuifuata account yake.
nimeamua kufuata ushauri wako
![]()
Manara apigwa chini CCM kwa utapeli wa magari
KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhusishwa na tuhuma za utapeli. Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Kirumbe Ngenda, jana alilithibitishia gazeti hili kuwa wamekubali barua ya kujiuzulu kwa Manara iliyowasilishwa...www.jamiiforums.com
itakuwa babu aliomba vibaya dua yake.
yule babu na yeye si mzima kichwani mwake ndio maana muda wote anawaza matako ya wasichana
Yule jamaa amekaa kitapeli tapeli tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nina TECNO. Simu hii nimetoka nayo mbali na imevumilia mengi zikiwemo vurugu zako za Livapuu na inapataga joto sometimes kama inataka kuripuka. Hii haiji kuuliwa na mbwembwe zako na Khantwe wako [emoji16][emoji16][emoji16]
KAZI na pesa. Jose Mourinho ameambiwa akiipeleka Tottenham Top Four, basi atalamba Pauni 2 milioni bila wasiwasi. Hiyo ni bonasi yake binafsi. Siyo ya wachezaji wala benchi lake la ufundi. Hilo ndilo jukumu lake la kwanza kikosini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]moud anajutaaa kumkaribisha anne Liverpool
Anafurahia Sana Mimi kuwepo liva..ila anajuta kushabikia Simba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anawaimbisha nyie taarabu halafu anazimia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kijana machachari, mwacheni awafunde[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]