Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Pole sana bro.Wanaudhi sana hawa Livapuu bro. Kidogo nishindwe kuinjoi lunch yangu pamoja na kuwa na pisi kali pembeni. Hawafai kabisa [emoji36][emoji36][emoji36]
Pole sana bro.Wanaudhi sana hawa Livapuu bro. Kidogo nishindwe kuinjoi lunch yangu pamoja na kuwa na pisi kali pembeni. Hawafai kabisa [emoji36][emoji36][emoji36]
Manara mwenyewe si alizimia ile siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka nishangae kwamba Hadi wewe brother unaamini kweli kwamba Simba na livapuu Ni sawa[emoji4]
hahahhaaaaaaa thubutuuu.
madame atazifuta kwa manenoooo
Naona amekimbia. Kumbe naye wala siyo ngangari. Kauwasha moto wa sembe na huyu Mnyakyusa naona kaelemewa [emoji16][emoji16][emoji16]
Pokea picha hizo za chama la wajanjaPicha kumbe[emoji23][emoji23]
Muache azilete[emoji1787][emoji1787]baadaye atazikimbia
Naona kikundi Cha ngoma asilia kimekamilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii Ni nukuu eeeh??
Huyu moud naendelea kuomba tu asipate ugonjwa wa kuzimia[emoji23][emoji23][emoji23]
Alishapata ugonjwa wa kuchanganya timu(liva) na upupu(Simba)
Hii ngoma ya kule magubike kilosa morogoro[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pokea picha hizo za chama la wajanjaView attachment 1271452
Livapuu hatuna undugu na vitu vya ajabu [emoji23][emoji23]Liva na Simba ni dam damView attachment 1271453View attachment 1271454
nipo bro, kwema?
Nakuona una raaahaaaaaaaaa.Naona kikundi Cha ngoma asilia kimekamilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na akilia wala sitomnyamazisha.
kwanza simfahamu
hata wakishinda leo basi ujue watabebwa