Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Igurusi ilivamia tu mbeya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikawaida ilitakiwa isiwe mbeya..ndo Maana mtu akikwambia anatoka mbalari lazima utamuuliza mbalari Ni wapi[emoji1787],
Lakini mtu Akisema anatoka uyole au tukuyu Basi hiyo moja kwa moja Ni mbeya

St anne huyu Beno Kakolanya toka milima ya Igurusi, golikipa machachari sana wa timu kubwa ya SimbaView attachment 1271462