Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Unauliza swali ambalo una majibu tayari[emoji23][emoji23]Hujanijibu swali langu lakini[emoji3][emoji3]
Acha utani Basi jamani[emoji23]
Unauliza swali ambalo una majibu tayari[emoji23][emoji23]Hujanijibu swali langu lakini[emoji3][emoji3]
Unakalia uchumi [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ninazo Kama zote na magauni ya vitenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila hivyo vingine Sina hata nilichopata ...hapa sijui nilikwama wapi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakalia uchumi [emoji23][emoji23][emoji23]
tanesco wamezidiwa na chuo cha IFM.*Gawio!*
NEMC 500M
TBA 543M
TAO 1BILION
TEMESA 1.13B
TPRI 1.73B
SBT 1.197B
MBOLEA 1.2B
DAWASA 1.395B
TIRA 1.958B
IFM 2B
NIDA 2.2B
TIA 2.5B
FCC 3.5B
BRELA 3.55B
VIPIMO 4.44B
OSHA 5.3B
NATRA 6.405B
UWURA 7.212B
TCAA 9.9B
TASAC 10.159B
TMDA 12.475B
TBS 13.225B
NCAA 23.538B
TFC 24.891B
TANAPA 44B
TPDC 66.4B
TCRA 85.855B
GBT 95B
TPA 169B
NARCO 300MILION
AICC 450M
TANALEC 555M
UTT 550M
TCC 558M
NHC 750M
CADDCO 1 B
TPB 1.12B
SUMA JKT
KILOMBERO 1.52B
NBC 1.257B
NMB 10.487B
TIPA 2.5B
PUMA 11B
TPC 14.502B
CRDB 7B
TPDC 2.5B
TAN TRADE 746M
STAMICO 1B
TANESCO 1.436B
ALAP 1B
Mungu niepushie mbali[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha na bae wake apigwe ubatizo wa moto.Hivi jana huyu Depal alikua na hali gani baada ya kufanywa mbaya?
Mungu niepushie mbali[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiwa home kazi nafanya ila kama tupo wawili aisee nafanya nusu sitaki ujinga😁😁😁
Halafu wote mnavaa rangi nyekundu, kwanini tusione mnafanana??Unauliza swali ambalo una majibu tayari[emoji23][emoji23]
Acha utani Basi jamani[emoji23]
Mtundu sana wewe.Nikiwa home kazi nafanya ila kama tupo wawili aisee nafanya nusu sitaki ujinga😁😁😁
Duh sawa bro, vipi huyo mtu mpya huko yuko poa?Sijamuona hata, niliadimika kidogo pia.
Lawama lazima zifike kwako kwa kuwa uliamua ule ugomvi kwa nini usiniache nimvunje taya za meno huyu mla urojo 😁😁😁Wewe kupiga watu halafu unaniletea lawama mimi, sio uungwana mpendwa.
Aisee, salama sana.Duh sawa bro, vipi huyo mtu mpya huko yuko poa?
Mambo Safi
Aisee! Hali ni tete kwa majirani zetu 😀Wacha na bae wake apigwe ubatizo wa moto.
2-0 hadi saivi😀😀😀😀
Hao wadudu Simba wanavaa damu ya mzee.Halafu wote mnavaa rangi nyekundu, kwanini tusione mnafanana??