Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Unajua kuna mipango nilikua nayo ndio maana sikutaka ulete balaa.Lawama lazima zifike kwako kwa kuwa uliamua ule ugomvi kwa nini usiniache nimvunje taya za meno huyu mla urojo 😁😁😁
Ila ukipata chance sasa hivi wewe mrukie tuu vile vichwa unavyorukaga😀😀😀