Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Teh bora umetokea mpenda urojo amekukandia mbaya😂😂😂😂 wewe jamaa wewe
Teh bora umetokea mpenda urojo amekukandia mbaya😂😂😂😂 wewe jamaa wewe
Sijatekwa Babe nipo huru kabisa sema basi tu....Davet kwanii aliyekuteka nani.?[emoji849]View attachment 1270602
Hahah eti na kichupi broEti ulitoka ndani na nini bro??😀😀😀
Hivi brother nawewe umeanza huu mchezo mchafu wa kulinganisha livapuu na vitu vya ajabu???Mimi ni mzima pia.
Kwanini unadhani Liverpool hailingani kimchezo na Simba sc?
Bwege huyo kutoka Pemba anapenda sana Taarabu 😀😀Teh bora umetokea mpenda urojo amekukandia mbaya
What's up Bro!
Yaani ilikuwa bado kidogo nimtoe meno siku ile Bradha akaamua ule ugomvi haiwezekani akutolea eti ulitoka na nanii😁😁Bwege huyo kutoka Pemba anapenda sana Taarabu 😀😀
Hivi jana huyu Depal alikua na hali gani baada ya kufanywa mbaya?🙏🙏🙏🙏
Nimefurahi kusikia hivyo.Na jana tumechukua point 3.
Nasubiria hii game ya kina ningendako na Numbisa iishe.
Haki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 sketi jamani[emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi sijui nilikwama wapi dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah! Alafu eti anavizia sipo ndio ananimaliza vile, bora ungemtoa hayo meno tu...Yaani ilikuwa bado kidogo nimtoe meno siku ile Bradha akaamua ule ugomvi haiwezekani akutolea eti ulitoka na nanii😁😁
Mimi ninazo Kama zote na magauni ya vitenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wewe ulitaka ubakiwe na 0 skirts? [emoji23][emoji23]
The Happiness hafai aisee🤣🤣🤣🤣🤣Hahah eti na kichupi bro
Mimi Ni yule wa nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujanijibu swali langu lakini😀😀Hivi brother nawewe umeanza huu mchezo mchafu wa kulinganisha livapuu na vitu vya ajabu???
Haki ya Nani Leo mnachokitafuta kwangu mtakipata[emoji23]
Sijamuona hata, niliadimika kidogo pia.Hivi jana huyu Depal alikua na hali gani baada ya kufanywa mbaya?