Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui kwa nini wana mioyo midogo hivi, wasanii wa kibongo wanavyochambwa mbona wangeshajiua wote
Labda wao hawajazoea purukushan na kiki zisizo na maana. Kwenye movies zao naona wanajitahidi sana kujificha kwa kofia nyeusi. Anyway kuna saa wanazidisha majidai mpaka wanasakamwa

Au ndo life style yao huko wapo busy sana mpaka wanapata stress mapema wakianza kusakamana inakua balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…