Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hapo nimeona picha moja tu ya pili.
Hiyo ya juu naona kama waganga wa jadi[emoji23]
Umvute Nani?
Mimi huyu au mwingine??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu toa huo uchafu wa mwanzo kabla ya alama ya kujumlisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ananisapoti kumtoa mdudu Simba[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kikundi Cha ngoma asilia kimekamilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]