Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu najiweka sawa ili nichochee kuni jikoni mpaka mtakapowivisha hizo chapati zenu za ufuta,[emoji23][emoji23]
Hawachi unanitafuta kwa taa ya kibatali
usinione nipo kimya hizo comment zako zote nimeshazisoma.
kama unadhani huyo jamaa aliyefukuzwa na bae wake akatoka ndani na kichupi kama mpiganaji wa mieleka atakuombea basi unajidanganyaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…