ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mimi sijasikia kwa kweliKichwa kichafu kwa kuwa hakuna anayetusikiliza hapa nataka nikuulize kitu kimoja tu,
Kwa nini hupendi kuwa na mwanamke mmoja tu?
Elewa tabia zako zishafahamika sehemu zote,
Je niwaambie watu ukweli wote?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi najitolea kupokea zawadi wewe pokea wageni
Nambie[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ukhuty