ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
numbisa hii kibokoKuna mdada Kaweka status kua "Alichonipa Mungu Mwanadam hawezi kukiondoa" Nikamuuliza kwa Upole Bikra yako iko wapi..??
Ghafla namtumia sms haziendi nadhani mtandao utakua unasumbua
Avatar yako inachekesha sana pole sana kichwa kichafu ndo life hili.carbamazepine
Nitarudi leo toka asubuhi siku imenikaba.