Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23]majibu ya washauri sasa![emoji119]![]()
Nitumie mbinu gani kumtongoza msichana anayeniamkia?
Kuna msichana kitaa namtamani sana, sio kwamba ni kadogo sana, kwa makadirio age difference ni kama miaka 10 hivi yaani kama mimi nina miaka 30 yeye ana 20, kinachonipotezea confidence ni tabia ya kuniamkia tena kwa heshima zote kila tukionana. Najua humu JF kuna manguli wa kutongoza. Je hii...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23]majibu ya washauri sasa![emoji119]
Kumbe wakaka hampendi shikamoo hivyo..?[emoji41]
Sio wakaka tu hadi vizee hawataki shikamoo[emoji23][emoji23][emoji23]majibu ya washauri sasa![emoji119]
Kumbe wakaka hampendi shikamoo hivyo..?[emoji41]
Shikamoo kaka Mkokaa
Aisee,Hatupendi mkuu
Kuna mmoja huyo nilkuwa nae, anataka umsalimu kila asubuhi[emoji849][emoji849] na sio kwamba ni mkubwa kiumriSio wakaka tu hadi vizee hawataki shikamoo
Aisee,