Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1574700928437.jpeg
 
Mbona yangu hujaitika
Sijaiona mpendwa. Ni wapi huko umenisalimia?

Marahabaaaa mpendwa wangu Hawachi.

Asante sana na naomba uwe unanisalimia hivi mara kwa mara. Naamini mimi pengine ndiye mhenga kuliko wote katika uzi huu. Sema tu matani yangu ya kijinga ndiyo yananipunguziaga heshima mpaka shikamoo nazikosa. Najaribu kubadilika [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom