Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Usiku wa mvua na baridi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nilijua tu, lazima unitolee uvivu! Nisamehe The DonKwanza una karibu mwezi hujanipa shikamoo yangu TH. Afadhali hata dadangu Kgothalo huwa anajitahidi tahidi japo naye sometimes ni lazima nimkumbushe.
Kipindi hiki hamu yote imekuisha unajiona bonge la fala. Halafu ukifikiria hela ulizopoteza basi ni lawama tu mtindo mmoja. Mungu na Atusamehe na kutupa hekima waja wake [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1272622
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nilijua tu, lazima unitolee uvivu! Nisamehe The Don
Shikamoo ×30 shimba
Sijaiona mpendwa. Ni wapi huko umenisalimia?Mbona yangu hujaitika
Mzima Moudy, za ww?
Mungu atupe usiku mwema
Kipindi hiki hamu yote imekuisha unajiona bonge la fala. Halafu ukifikiria hela ulizopoteza basi ni lawama tu mtindo mmoja. Mungu na Atusamehe na kutupa hekima waja wake [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mnywa urojo akitokea natoka online jf