Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1557678783674.jpeg
 
Enzi zetu wahenga hakukuwa na hizi mbwembwe zenu za kuzuka PM mara sijui wapi. Ilibidi kugangamara hasa vinginevyo mtu ungeweza hata kufa na ukame [emoji16][emoji16]
Sema wasukuma nyie ni mbinuless kabisa.
Yaani mlikua mnahalalisha kwa kupiga mitama warembo kwenye ngoma za jadi🤣🤣🤣😂😂😂😅😅
 
Back
Top Bottom