Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Hebu tuambie uliota unafanyaje dada 😀😀😀😂😂😂Yani huu uzi bhana, sikushangai maana hata mimi hunitokea
Hebu tuambie uliota unafanyaje dada 😀😀😀😂😂😂Yani huu uzi bhana, sikushangai maana hata mimi hunitokea
Mimi nimekuona wewe, huyo anayemwaga sera ndio nimeshindwa kumjua😀😀😀😂😂😂 ni Saint anne huyo, check vumbi la Dodoma
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji2088][emoji2088] shemej yako ananisumbua Kaka.! Eti amedakwa chozi na CarbaHebu tuambie uliota unafanyaje dada [emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo kweli hapalaliki😀😀😀[emoji28][emoji28][emoji28][emoji2088][emoji2088] shemej yako ananisumbua Kaka.! Eti amedakwa chozi na Carba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Khantwe hivi hivyo vichekesho unavipata wapi eti na mimi nikaingie kwenye hilo chimbo??
Namtumiaga whatsapp na wewe nipe namba zako niwe nakutumia
Wacha wee,, au siyo..
Si ndio
Aisee..msaidie dada yetu amshuhudie most talented man on earth
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hicho ndio tulichosikia[emoji3][emoji3][emoji3] mnatuimbiaga vitu vya ajabu nyie