Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Enzi zetu wahenga hakukuwa na hizi mbwembwe zenu za kuzuka PM mara sijui wapi. Ilibidi kugangamara hasa vinginevyo mtu ungeweza hata kufa na ukame [emoji16][emoji16]
Sema wasukuma nyie ni mbinuless kabisa.
Yaani mlikua mnahalalisha kwa kupiga mitama warembo kwenye ngoma za jadiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…